Rekodi za Michezo Baina ya Yanga & Azam Michuano Mbalimbali | furahia.newz
Breaking News
Loading...

Rekodi za Michezo Baina ya Yanga & Azam Michuano Mbalimbali

 
MAPINDUZI CUP:
Fainali 2012: Azam FC 3-0 Yanga


Makundi 2016: Yanga 1-1 Azam FC
LIGI KUU - mara 17
Yanga wameshinda 5
Azam wameshinda 5
Wametoka sare 7
Yanga wamefunga mabao 25
Azam wamefunga mabao 25
 KAGAME CUP- mara 2
2012: Yanga 2-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 3-5)
NGAO YA JAMII - mara 4
2013: Yanga 1-0 Azam
2014: Yanga 3-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 8-7)
2016: Yanga 2-2 Azam (pen. 1-3)
 MAPINDUZI CUP - mara 2
2012: Yanga 0-3 Azam
2016: Yanga 1-1 Azam
MECHI YA HISANI KUCHANGIA WALEMAVU - mara 1: 2011
Yanga 0-2 Azam
 FA CUP- Mara 1
Yanga 3-1 Azam
WAFUNGAJI WANAOONGOZA
1. John Bocco: 
Mabao 12. 
ligi kuu 10
Mapinduzi Cup 1 (2012) 

Mechi ya hisani kuchangia walemavu 1 (2011)
2. Kipre Tchetche
Mabao 8
Ligi Kuu 5
Mapinduzi Cup 3 (2012 mawili, 2016 moja)
3. Didier Kavumbagu
Mabao 5
Ligi Kuu 4( Yanga 3, Azam 1)
FA Cup 1 (2016)
4. Hamis Kiiza: 
Mabao 5
Ligi Kuu 4
Kagame Cup 1 (2012)
5. Boniface Ambani
Mabao 4

Image may contain: text

About Author
  • mwana habari Read More