Uchaguzi Mdogo Waibua Makubwa::Haya si Mapenzi, Ni Maha.... | furahia.newz
Breaking News
Loading...

Uchaguzi Mdogo Waibua Makubwa::Haya si Mapenzi, Ni Maha....


Image may contain: 2 people, beard

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa juzi alizindua Kampeni ya Uchaguzi wa Marudio ya Udiwani Kata ya Mateves iliyopo Jimbo la Arumeru Magharibi, sambamba na uzinduzi huo aliwapokea na kuwakabidhi Kadi za CHADEMA Wanachama wapya akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngarbob kwa tiketi ya ccm Kisongo Mjini Philemon Laizer pamoja na wenzake.
Image may contain: one or more people, people standing, beard, crowd and outdoor

Image may contain: 3 people, people standing, child and outdoor

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor

Image may contain: 4 people


Image may contain: 1 person


Image may contain: 1 person, crowd and outdoor

Image may contain: 1 person, sitting


Zanzibar jana katika uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi mdogo
 Image may contain: one or more people, crowd and outdoorAbout Author
  • mwana habari Read More