VIDEO:::> Magufuli Afanya Maamuzi Mengine Tena Yaliyozua Gumzo Nchini.. | furahia.newz
Breaking News
Loading...

VIDEO:::> Magufuli Afanya Maamuzi Mengine Tena Yaliyozua Gumzo Nchini..

VIDEO:::::>Ziara ya kushtukiza ya Rais Magufuli katika Shule ya Msingi Chato ambapo amesomea, na kisha kutembelea kijiwe cha 'Shoe Shine' alichozoea kukitumia na 'kupiga story' kabla ya kuwa Rais.Bonyeza play hapa chini kutazama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa nyumbani kwao ametembelea eneo maarufu kama Stendi za zamani Chato mkoani Geita.
Rais Magufuli amefika katika kibanda ambacho alikuwa akisafishiwa viatu vyake kabla ya kuwa Rais, pia ni sehemu ambayo alikuwa akipenda kukaa na kubadilishana mawazo na wakazi wa Chato wakati akiwa mapumzikoni kipindi cha Nyuma.
https://3.bp.blogspot.com/-laN15qrYt_k/WHOIn17M6EI/AAAAAAAJVRI/9q_A7ujPurc8X_D1ptRvpV5BaWO_LRGKQCLcB/s1600/1.jpg


https://2.bp.blogspot.com/-QhuzeZmw8Gc/WHOInsBxJ5I/AAAAAAAJVRE/VvlRMokFG-wUvVBkjgBrhlphwBXgD9yZgCLcB/s1600/2.jpg

https://3.bp.blogspot.com/-acsvshkq5Cc/WHOIotxDG4I/AAAAAAAJVRM/xXceyL2JqT8wskTNz3BVxPSQwhQsXyv4wCLcB/s1600/4.jpg


https://1.bp.blogspot.com/-WcMEj_oUpXI/WHOIouqaZRI/AAAAAAAJVRQ/TZSITWWnqnI2VlPdxHH1Cu340f0z9sYUQCLcB/s1600/5.jpg

About Author
  • mwana habari Read More