Wafungaji Bora VPL 2016 Kwa Sasa,Yanga Magoli 25, Simba Ina Magoli 15 | furahia.newz
Breaking News
Loading...

Wafungaji Bora VPL 2016 Kwa Sasa,Yanga Magoli 25, Simba Ina Magoli 15


Wafungaji Bora wa #VPL2016 mpaka dakika hii, safu ya ushambuliaji ya Yanga ina magoli 25 wakati ya mpinzani wake Simba ina magoli 15. Je Yanga Itaweza kufanikisha kubakiza ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara Jangwani?

About Author
  • mwana habari Read More