CHADEMA Wanavyofanya Mambo Yao Mazito Kimyakimya | furahia.newz
Breaking News
Loading...

CHADEMA Wanavyofanya Mambo Yao Mazito Kimyakimya

Nikiwa katika ziara ya Kanda ya Pwani jana Jumamosi 18/03/2017 nimezindua ujenzi wa jengo la ofisi ya jimbo la Segerea Mkoa wa Ilala.
Huu ni muendelezo wa ziara kwenye Kanda zote nchini ambazo imeshapita, ni pamoja na Kanda ya Kati, Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyasa, Kanda ya Kusini, sasa ni Kanda ya Pwani kisha kuelekea Kanda ya Kaskazini.
Lengo ni kuangalia uhai wa Chama baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 2015, kufanya mikutano ya ndani, kuvuna wanachama wapya, kutafakari hali ya kisiasa nchini kwa sasa n.k.
 Image may contain: 6 people

About Author
  • mwana habari Read More